Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 4,783 Reaction score 14,975 Oct 28, 2025 #1 Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo 6 ya uchaguzi: Jimbo la Shinyanga Mjini Jimbo la Solwa Jimbo la Kahama Mjini Jimbo la Msalala Jimbo la Kishapu Jimbo la Ushetu Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 - Shinyanga: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo 6 ya uchaguzi: Jimbo la Shinyanga Mjini Jimbo la Solwa Jimbo la Kahama Mjini Jimbo la Msalala Jimbo la Kishapu Jimbo la Ushetu Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 - Shinyanga: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025