GE2025 Mkoa wa Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Mtwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (10) ambayo ni
  1. Jimbo la Mtwara Vijijini​

  2. Jimbo la Nanyamba​

  3. Jimbo la Mtwara Mjini​

  4. Jimbo la Newala Vijijini​

  5. Jimbo la Newala Mjini​

  6. Jimbo la Ndanda​

  7. Jimbo la Lulindi​

  8. Jimbo la Masasi Mjini​

  9. Jimbo la Tandahimba​

  10. Jimbo la Nanyumbu​


Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > PreGE2025 - Mtwara: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Updates (Walioshinda Ubunge Mkoa wa Mtwara)

CCM imeshinda majimbo 10 ya uchaguzi.

Majimbo yote ni kama Ifuatavyo;

  • Jimbo la Nanyamba - Abdallah Dadi Chikota
  • Jimbo la Mtwara Mjini - Joel Arthur Nanauka
  • Mtwara Vijijini - Arif Selemani Premji
  • Jimbo la Newala Vijijini - Yahaya Esmail Nawanda
  • Jimbo la Newala Mjini - Rashid Mohamedi Mtima
  • Jimbo la Ndanda - Faraji Buriani Nandala
  • Jimbo la Lulindi - Issa Ally Mchungahela
  • Jimbo la Masasi Mjini - Leonard Douglas Akwilapo
  • Jimbo la Tandahimba - Katani Ahmadi Katani
  • Jimbo la Nanyumbu - Yahya Ally Mhata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…