Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 4,783 Reaction score 14,975 Oct 28, 2025 #1 Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo 9 ya uchaguzi: Jimbo la Karagwe Jimbo la Bukoba Vijijini Jimbo la Bukoba Mjini Jimbo la Muleba Kaskazini Jimbo la Muleba Kusini Jimbo la Biharamulo Jimbo la Ngara Jimbo la Kyerwa Jimbo la Nkenge Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 Kagera: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo 9 ya uchaguzi: Jimbo la Karagwe Jimbo la Bukoba Vijijini Jimbo la Bukoba Mjini Jimbo la Muleba Kaskazini Jimbo la Muleba Kusini Jimbo la Biharamulo Jimbo la Ngara Jimbo la Kyerwa Jimbo la Nkenge Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > GE2025 Kagera: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025