GE2025 Mkoa wa Geita: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Geita. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka

Mkoa wa Geita una jumla ya majimbo 7 ya uchaguzi:
  1. Jimbo la Geita Vijijini
  2. Jimbo la Busanda
  3. Jimbo la Geita Mjini
  4. Jimbo la Nyang'hwale
  5. Jimbo la Mbogwe
  6. Jimbo la Bukombe
  7. Jimbo la Chato

Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma
> GE2025 - Geita: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…