Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
teh teh umenivunja mbavu zangu kwa comment yako.ucheni fikra potufu,wakati tz hata haikawahi kufika robo fainali ya soka la afrika wala kushiriki unafkiria mkoa gani unavipaji?hivo vipaji vimeweka record gani duniani?they way u think they way u reflect lol.mmshame on u wakati americans ina states 52 ambayo moja tu mf. Texas inafanana na tz yote!!think abt nationality u think abt regionalism?
Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
Pwani hususani msoga!
Yaani mwekundu umeongea bonge la pointi.na ninadhani kitu ambacho kinatuletea umaskini Tanzania , kandanda nayo ni nambari wani. Hili ni janga la Taifa na kama kuna kitu ambacho watanzania wangeungana na kuandamana kifutwe kabisa nchini ni hii kituMichezo ambayo imewahi kuitangaza Tanzania kama Boxing na riadha tumeitelekeza ,udhamini hakuna watu wamengangania kitu ambacho si asili yetu.Ucheni fikra potufu,wakati Tz hata haikawahi kufika robo fainali ya soka la Afrika wala kushiriki unafkiria mkoa gani unavipaji?hivo vipaji vimeweka record gani duniani?They way u think they way u reflect lol.mmshame on U wakati Americans ina states 52 ambayo moja tu mf. Texas inafanana na Tz yote!!think abt nationality U think abt regionalism?Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums