Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 403
- 1,427
walinitoa kwenye mood kabisa kula yenyewe mtihani halafu nikaendelee kuwanufaisha wenye nacho!Sadaka yako ulituma?
Sasa huo muda wa kumuangalia si ungefanya uzalishajiwalinitoa kwenye mood kabisa kula yenyewe mtihani halafu nikaendelee kuwanufaisha wenye nacho!
yaani hayo si maneno ya kuongea mbele ya watu tena kanisani. sio siri amenikera sana.Chalamila huwa ni ropo ropo ni kawaida yake,hapo ukute keshapiga matapu tapu ya castle
Wanaopewa nafasi za kiutawala hawana uwezo wenye uwezo wako nje ya mfumo. Inafikirisha.Kwanini mtu Mkubwa na cheo chake aongee vitu kama hivyo?
Ni kweli kabisa.Wanaopewa nafasi za kiutawala hawana uwezo wenye uwezo wako nje ya mfumo. Inafikirisha.
Kama uliweza kufuatilia kwenye TV una tofauti gani na hiyo misukule ya Mwamposa?SALAAM
Mada yahusika hapo juu.
Jana kulikuwepo mkesha ulioandaliwa na huduma ya Arise and Shine chini ya Mtumishi Mwamposa.
Nilikuwa nikufuatilia matukio nikiwa nyumbani kupitia TV. Kilichonichosha na kunitoa kwenye reli kabisa ni pale mkuu wa mkoa alipopewa nafasi ya kusalimia waaumini.
Alinichosha zaidi aliposema kuwa huwa anamkumbuka dada wa Bukoba akimaanisha Saida Karoli aliposema anapenda wimbo wake wa mwenye wivu ajinyonge. na kuanza kuimba wimbo huo.
Nimejiuliza maswali mengine:
1. Kwanini mtu Mkubwa na cheo chake aongee vitu kama hivyo?
2. Je, madhabahuni si mahali pa watu kuponya nafsi zao? inakuwaje unaongea vitu kama vya kupiga majungu?
3. Aliwaza watu watalipokeaje?
4. Hakuwa na kitu cha kuongea si angekaa kimya?
Muwe na siku njema niliyemkosea anisamehe.
😄Kama uliweza kufuatilia kwenye TV una tofauti gani na hiyo misukule ya Mwamposa?
hunipati ng'o! si mara ya kwanza wala mara ya pili unacomentia ovyo. kacheze unapochezaga.Kama uliweza kufuatilia kwenye TV una tofauti gani na hiyo misukule ya Mwamposa?
Wewe ni msukule wa Mwamposa?hunipati ng'o! si mara ya kwanza wala mara ya pili unacomentia ovyo. kacheze unapochezaga.