ndg zangu my wife 2 be haniamini kabisa, nimejaribu kufanya kila niwezalo mf; kumuachia cm yng nikiwa nae, whatxap yng yupo free, password ya fb, instargram zote anazijua, kupenda kutoka nae kila inapowezekana but imani yake ni kwangu ni ndogo sana na of coz mimi sina mchepuko kabisa. Mwenzenu cjui nifanyeje, msaada wenu pliz kuokoa mahusiano yng

Simama kiume mkuu. Usiforce perception ya mtu juu yako. Matendo yako yatafanya hilo, stay real and time will tell her who you are.
Yeye ndo ana mchepuko. Anaona anavyofanya yeye na wewe unafanya hivyo. Mchunguze yeye. Au katoka kuumizwa na mwanaume kama mpo kwenye mahusiano mapya.
You are not siriaz!!!! mmmh vip na pswd yako ya ATM umempa?