hizo ni kawaida ! tena kawaida sana tu utazunguka kooote hakuna cha unafuuu ! mie huwa natapika had 9mths na kichwa kuuma sna kwa miez yote hyo !kwakweli kuwa na mimba ni jehanum (in mbiti's thought)
mtafutie ginger biscuits , au tangawiz yenyewe awe anatafuna kila mara na apples huwa inasadia nayo pia ! nunua vya kutosha !akiamka asbh atafune biscuits ya ginger au ae apple!