Yaani nimekumbuka mbali kweli aisee ππLimekaa kizamanizamani watoto wa siku hizi huwezi kuta kuna jina kama hilo
au jojinaItakuwa Christina
Mwaka Mpya na mambo mapya hahahaaa....tutasikia mengi mwaka huu
Amejiweka kwenye 18 umemkwepa, sasa anakuona mwenzake tu na jina kakubatiza
Sasa mkuu unataka sisi tukusaidieje? We mwenyewe umeshindwa kumcbapa bakora
Akiitwa awe anaitika au anyamaze tu?Achana naye yani uwe unamuignore tu akichoka kuweka "na" ataacha mwenyewe