TOURMALINE
Senior Member
- Jan 4, 2013
- 125
- 24
Natafuta mke wa kuoa, vigezo ni kama ifuatavyo,
1. Awe muislam, mcha mungu.
2.Awe mwalimu kuanzia primary
3.Awe mwembamba wastani, c mrefu, c mfupi, maji ya kunde au mweupe
4.mtanashati, mkarim, mcheshi, kabila lolote lakn licwe la kanda ya ziwa.
5.Acyependa makuu,
Nataka m2 anayetoka karbu ma mkoa wa kwe2 au karbu na nilipo sasa yani dar.1.nenda misikitini utapata ndio wanawafahamu hao walimu tena wanasali hukohuko sisi itakuwa kazi ngumu kujua sijui anasali kanisa gani
2.kazi ya kumjua mwembamba ni kazi ngumu maana siku hizi kuna nguo za kichina unaweza kumuona mtu mnene akitoa magodoro aliyonayo anakuwa mwembamba nayo ni kazi itabidi uwe na kazi ngumu ya kuwajua
3.asiyependa makuu yapi hayo hujaeleza vizuri
4.asitoke kanda ya ziwa wasiliana na mod hili tangazo lisiwafikie watu wa kanda ya ziwa hakuna umuhimu wa kulisoma na hujafafanua asiwe mzaliwa wa huko au mtu yoyote aliyetoka kanda ya ziwa hatakiwi au mtu yoyote anayekaribiana kitabia kimila na kiutamaduni na watu wa kanda ya ziwa hatakiwi fafanua vizuri mkuu ni hayo tu
Natafuta mke wa kuoa, vigezo ni kama ifuatavyo, 1. Awe muislam, mcha mungu. 2.Awe mwalimu kuanzia primary 3.Awe mwembamba wastani, c mrefu, c mfupi, maji ya kunde au mweupe 4.mtanashati, mkarim, mcheshi, kabila lolote lakn licwe la kanda ya ziwa. 5.Acyependa makuu,
Walimu wa kike wamekuwa marketable kweli.......I go back to school atlist nipate certificate ya ualimu wa chekechea nipate mume...hahahahaha!
mwenyewe ngoja nibadilishe fani. Naona ualimu ushakuwa dili kwenye suala zima la malavidavi.
1.nenda misikitini utapata ndio wanawafahamu hao walimu tena wanasali hukohuko sisi itakuwa kazi ngumu kujua sijui anasali kanisa gani
2.kazi ya kumjua mwembamba ni kazi ngumu maana siku hizi kuna nguo za kichina unaweza kumuona mtu mnene akitoa magodoro aliyonayo anakuwa mwembamba nayo ni kazi itabidi uwe na kazi ngumu ya kuwajua
3.asiyependa makuu yapi hayo hujaeleza vizuri
4.asitoke kanda ya ziwa wasiliana na mod hili tangazo lisiwafikie watu wa kanda ya ziwa hakuna umuhimu wa kulisoma na hujafafanua asiwe mzaliwa wa huko au mtu yoyote aliyetoka kanda ya ziwa hatakiwi au mtu yoyote anayekaribiana kitabia kimila na kiutamaduni na watu wa kanda ya ziwa hatakiwi fafanua vizuri mkuu ni hayo tu
Nataka m2 anayetoka karbu ma mkoa wa kwe2 au karbu na nilipo sasa yani dar.
Asante ndugu yangu kwa kunipa moyoKaka, nadhani unaweza ukampata mwenye vigezo vyote hivyo; ila ni baadae sana