Kama kichwa cha thread kinavyojieleza,Nahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa iwe humu JF ama kwingineko.
SIFA ZANGU
- Dini: Muumini wa dini ya kiislamu
- Umri: Miaka 32
- Urefu: 175 cm
- Kabila: Mmakonde
- Elimu ya Dunia:Shahada ya kwanza ya Usimamizi wa Fedha
- Kazi:Mwajiriwa & Mjasilia Mali
- HIV: Negative
SIFA ZA NIMTAKAYE
- Dini:Muumini wa dini ya kiislamu
- Umri:25 - 30 Miaka
- Urefu:wowote
- Kabila[emoji38]ote
- Elimu ya Dunia: Kuanzia Stashahada hadi shahada
- Kazi:Yeyote halali
- HIV:Negative(Itatubidi tukapime woote pamoja)
- Awe mwenye kujua kuilinda fedha(Sio Mfujaji)
N.B: Awe mwenye uwezo mkubwa wa kunishauri katika mambo ya kimaendeleo na Kidini.
Mwenye kuona anakidhi vigezo tuwasiliani PM