Mke wa kisasa

Hahaha, acha kumtishia mtoto. Unaujua ule wimbo 'i know i can, be what i wanna be. If work hard on it, i will be where i wanna be'

mwanamke akifanya bidii ana chances kubwa zaidi kufanikiwa kuliko mwanaume!
huwezi kua tajiri bila mwanaume wewe.
 
Hahaha, acha kumtishia mtoto. Unaujua ule wimbo 'i know i can, be what i wanna be. If work hard on it, i will be where i wanna be'

mwanamke akifanya bidii ana chances kubwa zaidi kufanikiwa kuliko mwanaume!
King'asti asilimia kubwa ya mademu waliotoka hapa town wamepigwa jeki na mamen. Niamini tusiongelee tu ushabiki lakini jaribu kufiria mwenye haraka haraka ni demu yupi hapa mjini ametoka mwenyewe. Ebu nipe jina moja.
 
wewe shindwa kabisa mimi hata hapa nilipo sitegemei mwanaume na najiweza kabisa though sijafika nako taka kwenda

Kuwa na gari na nyumba hizo ni basic needs, sasa kufikia hapo unapotaka hutakaa ufike bila kupigwa jeki. Na the only person atakaye kunyanyua ni mwanaume. Bisha mpaka mwisho wa dunia lakini huo ndio ukweli.
 
Wengine tumewezeshwa na wazazi, kupata pesa za kuanza vimradi. Wengine tuna mikopo benki.
Tuna top up kila leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…