Mke wa kaka ananitaka kimapenzi

Sio mbaya umemtafuna wewe kuliko angetafunwa na mtu baki mkuu,ila sasa hiyo Mara moja inatosha usichonge mzinga!,swali la kizushi shemeji vipi kiwango?...
 
nyie hawa wanawake waoneni tu kwa vile wanajiremba lkn kichwani siri yao.
 
Hii chai imechanganywa na muwaarobaini...
 
Umeoa??? Kama ndio basi muombe ushauri mkeo
 
Tena mpigie simu huko huko alipo mwambie ulichokifanya na shemela
 
Kama ni ya kweli haya kaungame...then ondoka kabsa maeneo hayo na kwa bro wako upaone kama ni Venus huko.
 
wakati mwingine hebu muwe serious basi kuna mambo ya maana mengi tu...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah hatimae nimejikuta nasoma huu utopolo.
Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…