Mke wa kaka ananitaka kimapenzi

Hii stori tu
 
Toa uongo wako hapa, eti vayagra, tamaa zako unasingizia vayagra. Baada ya kuona mtoto haumwi ulibaki kufanyaje
 
Okay twende taratibu...

Siku hizi hakuna cha bure. So tueleze vipi shemeji anajua kuchambua kama karanga? samasoti?

Ndo tuanze kukupa ushauri...usijekuta shemeji mwenyewe roboti hata ukimwambia kaka anakucheka.
 
Ukikuw utaacha,fanya wewe ndio mkeo anamegwa kakako? Laana na mikosi huwa tunazileta wenyewe kwenye familia zetu.
 
Kama ni kweli hayo maelezo yako heading ilitakiwa kuwa hivi sasa "nimemla shemela jana usiku" ingeeleweka! Sa unakuja na story ndeeefu ooh nchi za njee mara wine mara Viagra..
 
Unajua we jamaa ni kenge kwa sabb zifuatazo;
Hukuwa na nia nzuri na kaka yako tangu awal kwa maana ulikuwa na nia ovu,hivyo inatakiwa uhukumiwe.
Umeshamla mke wa kakayo na ulikuwa hupendi kwa sabb zako binafsi,sasa unakuja jamii forum wakushauri nini?
Wewe uko tayal hata kula njama kumua kaka yako,suala Viagra c ungemwita hata demu wako?wwe ni kenge tena w a maji barid.
Sasa cha kufanya kaka yako namjua nitamwambia huu ujinga wako ili liwe somo na kwa watu wengine,SITAKAGI UJINGA MM
 

Hahaa hii ni story tu,nilitaka kucheka kidogo
 
Kama ni kweli hayo maelezo yako heading ilitakiwa kuwa hivi sasa "nimemla shemela jana usiku" ingeeleweka! Sa unakuja na story ndeeefu ooh nchi za njee mara wine mara Viagra..

Ni uongo tu
 
mshipa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sisi papuchi tunazitafuta kwa garama tgena kubwa wewe unapewa utamu wa bure unalia???khaa wanaume wengine bana.....mvue chupi mkune vizuri acha ujinga
 
kama maelekezo aliyokupa Ni kwenda kufanya ulichofanya basi mpe ripoti hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…