Wadau wa a jf.
Mtakumbuka nilitoa hapa ombi kuwa natafuta binti atakayekuwa kuwa mke wangu, nikasema mimi nina umri wa miaka 28.
Nilipata PM nyingi ila wote ni above 29.
kwa mara nyingine natoa tena nafasi ya mwisho kwa wenye umri wa kuanzia 20-27, awe na kazi i mean awe ameajiriwa, akiwa mwalimu au Nurse ni vizuri zaidi but siyo mandatory.
Awe seriou, mpenda maendeleo na awe anajitambua tu. kwa aliye tayari ni-PM
NOTE;- Awe binti tu siyo mvulana.