Wana jamii, mimi ni mwanaume mkamilifu kabisa, nina miaka 34, nina mtt1. najitokeza kwenu kutafuta mwanamke wa kuoa, awe mwelewa, mwenye hofu ya Mungu, awe amekua kiakili na kimwili pia. Akitaka kujua zaid, PM. NB: kwa mwenye mtoto anapewa kipaumbele kwani naamini amekua kiakili.
miss chagga shikamoounahela?
unahela?
ukamilifu wako uko sehemu gani? kwanini kumuoa uliyezaa naye? na kama uliona hafai kwann hukutumia ukamilifu wako kumuweka awe unavyotaka uoe mtunze motto pamoja? eti mkamilifu mmfyuuuuuuuuuuuu
hao wakamilifu unaowtaka wewe unaweza kuwapata wapi?
na je huyo uliyezaa naye hakuwa mkamilifu hata theluthi?
SASA
sijui niongee au niache kuongea TENA
alitangulia mbele za haki, 2yrs ago
nilozaanae alitangulia mbele za haki
miss chagga shikamoo
marahama
Sister itabidi tumeet siku moja looo unatisha sana kwenye maswala ya mkwanja uko vizuri
usishahu hela yako ya kinywaji
Kinywaji ntajilipia usijar
Asee unapenda hela arifu
Ndiyo napenda