Truth be told, Jamii forums ni moja ya sehemu babkubwa sana kupata manzi aliyetulia. Kwa mtu makini, maandishi yanazungumza mengi sana. Na since wengi hatujuani, kila mtu anasema anachojisikia kulingana na upeo wake.
Only downside ni muonekano. Avi ni K.D. Aubert, na ndio picha unayojenga kichwani. T.I's wife in real life. Beware.