Delegate JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 331 Reaction score 203 Feb 26, 2015 #1 Wakuu tuna kazi ya kumtafutia rafiki yetu mke aliyeokoka lakini awe mature miaka 35 na kuendelea asiwe na watoto labda mtoto mmoja,ndugu yetu ana 43. Tafadhali pm haraka sana.
Wakuu tuna kazi ya kumtafutia rafiki yetu mke aliyeokoka lakini awe mature miaka 35 na kuendelea asiwe na watoto labda mtoto mmoja,ndugu yetu ana 43. Tafadhali pm haraka sana.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Feb 26, 2015 #2 He! huyo nduguyo na umri wote huo anatafutiwa mke? Ana tatizo tena kuuuuubwaaaa
U UkomboziMpya JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 465 Reaction score 179 Feb 26, 2015 #3 Moderator njoo mfute huu upuuzi......mtu akiokoka anajitambua sio looser kama unavyochukulia wewe! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
M MWANAKA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2013 Posts 4,894 Reaction score 4,474 Feb 26, 2015 #4 Nimepoteza namba za mwnamke wangu wa utoto ningekupa mala ya mwisho amehitimu ualimu pale Chang'ombe ni mzuri sana ana 35 years na ni mrefu mweupe i think atakufaa Ngoja nitafute contact zake
Nimepoteza namba za mwnamke wangu wa utoto ningekupa mala ya mwisho amehitimu ualimu pale Chang'ombe ni mzuri sana ana 35 years na ni mrefu mweupe i think atakufaa Ngoja nitafute contact zake
ragin JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,391 Reaction score 9,385 Feb 26, 2015 #5 Huyo atafutiwaye haingilik akilin! Nyie madalali au? Amekula ujana na Miaka hyo hana mtoto hata wakusngzwa? Au anataka wakumlea uzeen.
Huyo atafutiwaye haingilik akilin! Nyie madalali au? Amekula ujana na Miaka hyo hana mtoto hata wakusngzwa? Au anataka wakumlea uzeen.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Feb 26, 2015 #6 akaunti yake benki inasoma ngapi??
Sweet16 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 6,154 Reaction score 11,210 Feb 26, 2015 #7 Kwani ye hajui kusoma na kuandika wala kuongea? Acha kihere here