Mke ana mimba ya baba mkwe

"..Da wanawake bwana"
 
Amuachie huyo mke babake, yeye aendelee Na maisha mengine....!
 
Dah,baba unatafuna mke wa mtoto wako wa kumzaa?dunia imefikia ukingoni.
 
Amheshimu huyo mwanamke kama mama yake (Mke wa baba yake), halafu yeye atafute mwingine maana hakuna namna
 
Dah kazi kweli kweli....Ehee kabla ya kumwacha mke wake walibahatika,kujaliwa kupata watoto, mtoto?
 
Inauma lakini hana haja ya kuua....arudi zake nje akaanze maisha mapya.....pia kuna uwezekano baba kapiga game lakini mtoto wa jamaa mwingine dunia duara
 
Sikiliza kijana wanawake Wako wengi ha cha huyo oa mwingine shida ya nini kijana? Jela siyo pazuri sana
 
Mwambie afumbe macho tu ajirudie kazini itapata mke bora na hao walio msaliti Mungu atawalipa kwa ufedhuri wao........pia huo ni mtihani wa mwenyezi Mungu kwani kila litokealo Mungu anamakusudi nalo.........ila pia mpe pole sana maana inauma sana.
 
Sasa kama anasepa anawaza nini? Kitu rahis ka hiki nacho chataka ushauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…