Reckon Master
Member
- Nov 7, 2018
- 9
- 5
Biashara inaanza pale ambapo watu wana mahitaji ambayo hayajatamizwa na uwezo na nia ya kutaka kutimiza mahitaji hayo wanao (uwezo wa kununua). Kwa hiyo watu (soko)wa kuwauzia wapo na watakuwepo tu. Watu tuna mahitaji tofauti na utofauti huo wa mahitaji ndio unaoleta sababu ya kutaka kubadilishana vitu ili kukidhi mahitaji yetu mfano nguo vs fedhaWote wakiwa wafanyabishara,mafundi wa kujenga vitu ili uviuze utavipatia wapi?
Biashara inaanza pale ambapo watu wana mahitaji ambayo hayajatamizwa na uwezo na nia ya kutaka kutimiza mahitaji hayo wanao (uwezo wa kununua)
Wanaweza wasiwepo pia!Kwa hiyo watu (soko)wa kuwauzia wapo na watakuwepo tu
Hii ni concept basic kabisa ya human trade from the ancient times up to now!Watu tuna mahitaji tofauti na utofauti huo wa mahitaji ndio unaoleta sababu ya kutaka kubadilishana vitu ili kukidhi mahitaji yetu mfano nguo vs fedha
Ujaeleweka hapo mwisho, ila ujasiriamali sio ufundi wa kujenga vitu nineo controversial linafiti kila idara na watu wataendelea kuishi kama kawaida.Wote wakiwa wafanyabishara,mafundi wa kujenga vitu ili uviuze utavipatia wapi?
Mifano yako mbona sio validity kwakuangalia uhitaji Internet isingekuwepo | kabla ya kiwepo mboba waliangalia uhitaji mbalimbali mawasiliano nk.Sio lazima kuwe na uhitaji!
Unawezajenga "uhitaji" jamii ikaelewa somo wakazalisha "uhitaji"!
Kama ni kuangalia "uhitaji" kwanza,basi internet,umeme,etc visingevumbuliwa!
Wanaweza wasiwepo pia!
Unaweza kudhani wapo kutokana na "assumed" au 'illusions" zako, kumbe in reality hakuna hilo soko unalodhani lipo japo reasearch na numbers zote kwako zinasema lipo!
Hii ni concept basic kabisa ya human trade from the ancient times up to now!
Yaani human beings wote wakiwa wafanyabiashara,jee mafundi wa kujenga vitu viweze kutokea ili viuzwe watatoka wapi?Ujaeleweka hapo mwisho, ila ujasiriamali sio ufundi wa kujenga vitu nineo controversial linafiti kila idara na watu wataendelea kuishi kama kawaida.
Mfano mfanya biashara aliyewekeza kwenye kiwanda cha kujenga chupa za plastic anamuuzia MO, wakati huo MO naye ni mfanyabiashara atamuuzia juisi uyu mwenye kiwanda.
Mifano yako mbona sio validity kwakuangalia uhitaji Internet isingekuwepo | kabla ya kiwepo mboba waliangalia uhitaji mbalimbali mawasiliano nk.
OK naona hili swali lishaulizwa hata mala 100000 humu JF, jibu ni hili.Yaani human beings wote wakiwa wafanyabiashara,jee mafundi wa kujenga vitu viweze kutokea ili viuzwe watatoka wapi?
Umenielewa?
Hicho kiwanda ka-design nani,kajenga nani,mashines kajenga nani,nani anaziendesha mpaka ukapata final product ya juice mkaniuzia mimi?
Ni mafundi,engineers,sasa wewe unaona hawa ni hovyo wanatakiwa wawe wafanyabishara as they are!
In a long term hiyo ni myopic view!
Eleza iyo historia.Hivi unajua historia ya internet?
Unajua historia ya umeme ulipotokea?
Wewe ni engineer?
Kama sio,ni heri unyamaze sio unabisha vitu huvijui!
kama sio lazima kuifuata,yanini usome kama sio kupoteza muda?Kutoa elimu ya ujasiliamari haina maana kwamba wote wataifata lakini hii haimaanishi isitolewe na wanaopewa watoa hoja kwamba sio lazima tuwe wote wajasiliamari, hili jambo linaanzia mbali.
Pepo na moto unaijua wewe!Tunajua kuna pepo na moto,
ila ujumbusho ni jambo jema kwamba tumuabudu Mungu tusiingie motoni ila uwezi sema eti siolazima wote tuingie peponi motoni ataingia nani, na nikweli kuna watu hawatafata huwo ukumbusho.
Nirudi kwenye point, ukumhusho wa ujasi ni muhimu kwasabau tukiwa watu wengi wanaojiweza watalipush taifa mbali ila sikwamba wote wataingia uko kwenye wajasiliamari mkuu hata uwahimize watu kwafimbo.
Eleza iyo historia.
Hata hao mafundi pia ni wajasiriamali kwa sababu wanatumia ubunifu wao kutengeneza vitu na kuviuzaWote wakiwa wafanyabishara,mafundi wa kujenga vitu ili uviuze utavipatia wapi?
Hata hao mafundi pia ni wajasiriamali kwa sababu wanatumia ubunifu wao kutengeneza vitu na kuviuza
No si kila mtu ni mjasiriamali bali yule anayefanya ubunifu akatengeneza kitu au huduma na ikampatia pesa.Si kwelu in a sense!
Kama definition ni hiyo,kila mtu duniani ni entrepreneur,wether ni daktari,mpishi,mvuvi,mganga,muhubiri,mtangazaji,etc
Mzee,hizi definition mnazishusha mno mpaka matopeni!
Hebu tuwe serious kidogo!
Kwanini watu wanaogopa kuwa wajasiriamali akati wanajua taratibu zote za kuwa mjasiriamali?
Hahahaha thank U,,,Am September manKwanini watu wanajua njia zote za kwenda peponi ila wanamuhasi mungu.
Nature ya dunia kitu kizuri kukiendea inakuwa shida na ndio uthamani wake.
Sent using Jamii Forums mobile app