Mlonganzila
Member
- Feb 28, 2013
- 99
- 26
eti na hii nayo ni habari! sasa tujaidili nini hapa? mkapa kufungua mkutano na mwinyi kufunga?
Hujui siasa ww Abunuas hii ni ishara kuwa hao wanamuunga mkono bwana pombe coz rumours has it kwamba hili ndo chaguo lao.
Kipindi hiki na hasa kuelekea uchaguzi Mkuu hawa wazee hujiweka kando sana na siasa, lakini hapa naona kuna kitu! Pia ukue uweze kupambanua mambo mkuu!
well said mkuu
JPombe ndo rais wa JMT come October! Vinginevyo ni heri tuipe kura UKAWA...
Heri yako mkuu naona kurunzi yako inaona mbali!
Mi siyo CCM lakini huyu jamaa namkubali. Nafikiri tunataka kiongozi wa namna hii tuweze kufika hatua nyingine. Ukijaribu kuangalia tunahitaji kiongozi mwebye sifa kuu mbili: mchapa kazi na mwadilifu, combination hii ni ngumu kupatikana kwa viongozi walio wengi. Watu wengi either wanasema Lowasa kwasababu ya interest zao binafsi au wanafuata mkumbo kwakuwa watu wengine wamesema. Nina imani huyu jamaa akichukua nchi watanzania itakuwa mwisho wao wa kufanya kazi na kuishi kwa mazaoea. Namuombea mungu ampe afya na achaguliwe kugombea kuinusuru nchi yetu. Mbali na hapo mitandao mingine ya wagombea wana agenga za maslahi binafsi na wala siyo ustawi wa nchi.
Ukiona watu wanatandika majamvi na mikeka huku kina mama wamejifunika kanga na vyombo vinatolewa nje ujue hapo kuna msiba. Ukisikia vigelegele na watu wanaruka kwa furaha hapo pana sherehe. Ukiona jogoo wa kijijini anawika ujue kunapambazuka. Mwenye macho haambiwi tazama, wala mwenye busara hafikiri mara 100. Ukiwa na njaa tafuta chakula, usipojenga taswira hapa ww hufikiri sawa wala hufai kuwa member humu JF.
Ujumbe pokeeni ila msinitusi nami najua kutusi japo sitarudisha tusi iwapo utanitusi.