mkao

Aaaghhh.... nimekuja mbiombio nikadhani ni mdada kakaaje sijui
 
Mbona kama wanataka kupiga ubweche...nielekeze ni wapi nije maana ubweche ndio mambo yangu hayo

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Watu washanawa mikono hapo walahi. wengine wakijua kuna shughuli mahalamchana huwa hawanywi chai usubuhi ili ili tumbo liwe na nafasi ya kubeba mzigo wa haja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…