Mjuzi wa programming

Frankjoe

Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Mtu yeyote anayejua programming anisaidie hili tatizo najaribu kucreate apps za android kwa kutumia html, css & javascript. Kuna file flan inatwa cordova 2.0.0 natakiwa niiattach kwenye hiyo html so nimekwama hapo sijui niweke vp maana nimejaribu kuweka mwanzoni napoanza kuandika html codes kwenye head tag imegoma pia. Naomba msaada ktk hilo.
 
Umesetup Android programming environment tayari kwa kuinstall Android Developer Bundle na umetengeneza Android project mpya?
 
Mkuu kwenye forums za wenzetu huwa wanaweka code zao then watu wanaziangalia na kutoa msaada, sasa wewe unatoa statement ya mdoma as if hiyo project naijua vizuri au tunafanya wote, Sidhani kama uki-paste line angalau 20 kuna mtu atakayeiba kazi yako.
 
uwasilishaji wa matatizo humu umekuwa ni tatizo lingine, mtu analeta tatizo as if tupo pamoja tunaliface tatizo lake, kazi tunayo...
 
uwasilishaji wa matatizo humu umekuwa ni tatizo lingine, mtu analeta tatizo as if tupo pamoja tunaliface tatizo lake, kazi tunayo...

.
Labda wanadhani humu kuna leechers !
Watazi suck source code zao na ku release app!
.
 
ASIEJUA KUELEZEA TATIZO NAE NI TATIZO.............

Programming is an Act of Solving Problems Xo lazima ujenge uwezo we kuelewa kuchambua na kuelezea tatizo.
 
ASIEJUA KUELEZEA TATIZO NAE NI TATIZO.............

Programming is an Act of Solving Problems Xo lazima ujenge uwezo we kuelewa kuchambua na kuelezea tatizo.

.
Chamsingi ni ''HOW TO THINK LIKE A PROGRAMMER''
yaani hili ndo swala la msingi kuliko kujua ma different syntax!
.
Inachekesha mtu anapo jifunza programming kama language!
.
Ni sawa na anejifunza kutumia penseli baada ya kujifunza kuchora!
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…