Mjue mnyama Anteanter

Anaitwa Muhanga. Ingawa anayotofauti kidogo na muhanga wanaopatikana huku Afrika, lakini wanafanana kwa kiasi kikubwa.
Nimejaribu kitafuta swahili name yake nmefeli
 


Kweli wamefanana sana na huyu, it seems ancestor wao ni mmoja.
 
Hapa Tanzania wapo wapi hao
 
Loo, anaonekana anayo nyama tamu sana huyo, ukiichoma na uiwekee pilipili kwa mbali.
Hahaha daaah jamaangu ndo ulichowaza mzee


Mtu wa nyamanyama,chomachoma,mbaniko
 
Dah Continue Rest In Piece brother..
Kumbe kuna wakati ulikuwa unapata furaha na kuandika madam kama hizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…