Sana tu ni silent killer huyo Dada nna uhakika 60%anapita jf ni mshari mnoo alimtukana wema mpk kumuita mgumba sasa kakutana na jeuri mwenziwe mswahili wa mbagalaaa kwetu na mzazi km yeye tena kazaa na wenye nazo muache aoshe her own taste of arroganceHuyu Zari angezaliwa huku kwetu Kwamtogole sipati picha anaonekana ni mchokonoko sana
Wanawezana wenyewe, ukijumlisha na team. Madale mama weeeSana tu ni silent killer huyo Dada nna uhakika 60%anapita jf ni mshari mnoo alimtukana wema mpk kumuita mgumba sasa kakutana na jeuri mwenziwe mswahili wa mbagalaaa kwetu na mzazi km yeye tena kazaa na wenye nazo muache aoshe her own taste of arrogance
Hapa bongo hakuna usupastaa ni Ulimbukeni tu wa maishaMaisha ya usupastaa ni tabu kweli...
Ni huko kuongea kiingereza lakini bi wa kiganda mswaziooh am bosslady
i gt money moves
nmenunua gari mpya
laki2 stop following my team
bla blaaah....
huyu mama angefocus na wanae tu.. anatuchosha sasa mtu mzima akili kama za gigy[emoji23][emoji23].....
ndo mana kachapiwa ,amekosa hekima
Ndo tatizo lake yy anahis money is everything's while not anaumia mnoo anajipa tu moyo amrudie tu diamond maana atapagawaooh am bosslady
i gt money moves
nmenunua gari mpya
laki2 stop following my team
bla blaaah....
huyu mama angefocus na wanae tu.. anatuchosha sasa mtu mzima akili kama za gigy[emoji23][emoji23].....
ndo mana kachapiwa ,amekosa hekima
Hear say nasikia baba Dully-Latifa mwenyewe anamkandya Zari, Hamisa asingeleta ushabiki maandazi hata nyumba angenunuliwa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli