Za mihangaiko Wanabodi. Nimewaza sana hivi mji wa Zanzibar una hadhi ya Jiji au ni Manispaa? Je kwa ukubwa wa Mji wa Zanzibar(Unguja Town Proper) unaweza kuufananisha na mji gani kwa huku bara?
Nmewahi kufika mara mbili tatu Zanzibar, kiuhalisia pako poa, lakini nasikia majina kama Wilaya ya Mjini Magharibi nk, lakini sizioni ziko wapi pale. Je pale Forodhani ni wilaya gani, Pale kwenye flat za Marehem Mzew Karume Michenzani ni Wilaya gani? Mji Mkongwe je?
Tujadili kwa kuelimishwa kwa mwenye ufahamu zaidi.
Kila la heri.
Nina hamu ya kusoma majibu fasaha toka kwa wanaoijua zenjiZa mihangaiko Wanabodi. Nimewaza sana hivi mji wa Zanzibar una hadhi ya Jiji au ni Manispaa? Je kwa ukubwa wa Mji wa Zanzibar(Unguja Town Proper) unaweza kuufananisha na mji gani kwa huku bara?
Nmewahi kufika mara mbili tatu Zanzibar, kiuhalisia pako poa, lakini nasikia majina kama Wilaya ya Mjini Magharibi nk, lakini sizioni ziko wapi pale. Je pale Forodhani ni wilaya gani, Pale kwenye flat za Marehem Mzew Karume Michenzani ni Wilaya gani? Mji Mkongwe je?
Tujadili kwa kuelimishwa kwa mwenye ufahamu zaidi.
Kila la heri.
Mkuu mjini magharibi sio wilaya ni mkoa, mkoa wa mjini magharibi una wilaya 2 ambazo ni wilaya ya mjini na wilaya ya maghariMji mkongwe ni wilaya ya mjini magharibi, kuna maeneo kama bwejuu na makunduchi huko ni walaya ya kusini,
kuna upande wa Mkokotoni kule ni kaskazini if Am not mistaken,
...
sasa ndani ya wilaya, ndio unakutana na majimbo,
Mfano Wilaya ya mjini magharibi, Jimbo la mji mkongwe, Maeneo ya michenzani ni jimbo la kikwajuni,,ingawa michenzani imejigawa, So ivyo ndivyo inavyokwenda,
Kama nimekosea basi watanisahihisha
hivi na mchambawima hili jina asili yake nini na wapi?[/QUOTE hata picha huoni mkuu..hapo kuchamba mkuu ni mwendo wa kusimama tu
mdukuzi, avatar yako hahahahahahahahahahahahahaahyaani huku kwetu zenji eneo kama manzese ni mkoa na tandale ni wilaya,ukipiga filimbi mkoa mzima unasikia,pale malindi huwa kuna king'ora kila muda wa kuswali mchana chasikika mpaka mbweni
Na pale kwenye jumba la starehe "KWA RAJU" ni wilaya gani?Zanzibar, kuna Halmashauri ya Manispaa Zanzibar, ambayo ipo katika wilaya ya Mjini, ikipakana na wilaya ya Magharibi. Wilaya hizi mbili zipo ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wilaya ya Mjini inaisha katika barabara ya Mwanakwerekwe umbali wa kama kilometa 5 toka Forodhani.
Forodhani, Michenzani na Mji Mkongwe zote hizo zipo katika wilaya ya Mjini
Pale ni Wilaya ya Mjini.Na pale kwenye jumba la starehe "KWA RAJU" ni wilaya gani?
zanzibar ni manispaa, na ina mji siyo mzuri. ila una fukwe hatari zinapatikana sehemu chache sana duniani nandiko kwenye mahoteli ya kitalii. Na kuna watalii wengi huja kuona mambo ya kale na maeneo mazuri ya kutalii. kuna direct flight toka ulaya hadi znz nyingi. ndo maana sultan alihama toka oman akaweka makao makuu znz. karibu zenj mkuu uje ufaidi mandhari za kihistoria na fukwe za kuvutia.Za mihangaiko Wanabodi. Nimewaza sana hivi mji wa Zanzibar una hadhi ya Jiji au ni Manispaa? Je kwa ukubwa wa Mji wa Zanzibar(Unguja Town Proper) unaweza kuufananisha na mji gani kwa huku bara?
Nmewahi kufika mara mbili tatu Zanzibar, kiuhalisia pako poa, lakini nasikia majina kama Wilaya ya Mjini Magharibi nk, lakini sizioni ziko wapi pale. Je pale Forodhani ni wilaya gani, Pale kwenye flat za Marehem Mzew Karume Michenzani ni Wilaya gani? Mji Mkongwe je?
Tujadili kwa kuelimishwa kwa mwenye ufahamu zaidi.
Kila la heri.
Mkuu kile king'ora hulizwa saa moja unusu ,saa tisaa na saa kumi na mbili kamili jioni ambao si muda wa kusqalu kwa walio wengi kule.yaani huku kwetu zenji eneo kama manzese ni mkoa na tandale ni wilaya,ukipiga filimbi mkoa mzima unasikia,pale malindi huwa kuna king'ora kila muda wa kuswali mchana chasikika mpaka mbweni