Sorry jaman, unaweza kupima macho kwenye maduka wanayouza miwani na kununua hapo hapo au lazima hospital? Maana mimi nilipima hospital Ifakara nikawa Directed kutumia miwan bt hawakuwa nayo wao so nikapanga kununua mafukani ila sikununua,,, sasa kwa sasa nina mpango wa kufanya checkup tena na ninunue miwan