Wala hujakosea Chief, kwani hiyo horse/ tractor ya Semi inauwezo wa kuvuta tela yenye mzigo kiasi gani? Au kuna horse yenye uwezo wa zaidi ya tani 10 kwa matumizi ya kawaida hapa kwetu?
Hiyo tani tano ni max capacity inayoweza beba kutokana na body yake.