Mitsubish outlander

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,038
Reaction score
2,190
Ila nyie wanaume mfikie hatua muwe mnasikiliza ushauri wa wanawake wenu sometimes tunawazidi akili
Mzee alienda kutafuta gar, kapata kanipigia nimepata used ila namba E nikamwambia ongeza hela chukua mpya uwe wakwanza kuitumia kwa hapa tz,, akaniona fala akaichukua iyo ajabu kaendesha siku 2, imechemka mara anaambiwa sijui gasket imefanyaje nimemrudia kumwambia jiandae kilasiku gereji kwa kutofata ushaur... muwasikilize wake zenu jmn
Gari ni mitsubish outlander EFm
 
Watu wajinga sana hufikiri gari nzuri ni namba E au D kumbe namba A zimesimama sana kuliko E
 
Mitsubish outlander ni gari nzuri kwanzia muonekano hila alitaki mmiliki mzembe ili matunzo sana gearbox oil azingatie kuna siku ilituzimia ghafla tu iyo sio kama corolla ni roho ya paka
 
Tunaojua kutunza magari ni wachache Sana mara nyingi ishu sio namba EFM Bali ni mmiliki mwenyewe alikuwa ni mjinga Tu

Hizo gari hazina shida kabisaa

Nimeshangaa hata mie hapa mkuu. Outlander ni gari nzuri ila inataka "mkono mzuri". Mmiliki wa kwanza atakuwa kimeo.
Hiyo chombo inataka "mswaki" ni mpya hiyo.
 

Na hayo umeshauriwa na X wako
 
Picha ya hiyo Gari iko wapi? Wengine hatuijui. Lol
 
Sasa unatoa ushauri bila kumpa pesa lazima asikusikilize, weka mzigo mezani mwambie akanunue gari kutoka Japan…!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…