Kweli inafika mahala umegraduate then hujui ht umesoma nini, sababu unasomea mitihani tu, but we need to change. wenzetu yaani developed countries wanachofanya mwanafunzi anapewa assignment then anaifanya kwa kutumia any topic of interest on that field/subject yaani lecturer anatoa mwongozo tu then wanafunzi wanafanya anyhow according to experience or kama anataka kujifunza anything new. nafikiri inasaidia, na kwa sababu mwanafunzi atakuwa ameamua anataka kujifunza nini so ita stick in mind.