Mitihani ya majaribio ndio nini mkuu ufafanuzi kidogoHabari wakuu naomba mwenye link yenye mitihani ya majaribio darasa la saba .natanguliza shukrani
Mkuu wee Yann wakati watto wanafanya mitihani wiki ijayo ng'ombe hanenepi siku ya mnada[emoji12][emoji12][emoji12]Habari wakuu naomba mwenye link yenye mitihani ya majaribio darasa la saba .natanguliza shukrani
Download app ya THL UtayapataSawa ila nahitaji tu
Mwalimu andaa maswali yako acha kupenda kitonga.Sema kule majaribio yapo machache na karibia yote niliyapitia
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya mitihani na majaribio hilo ujue kama kweli wewe ni mwalimuMwalimu andaa maswali yako acha kupenda kitonga.
Nicheki 0783200234 WhatsAppHabari wakuu naomba mwenye link yenye mitihani ya majaribio darasa la saba .natanguliza shukrani
Hahaaha.. Ticha kazingua huyu aisee.Mkuu wee Yann wakati watto wanafanya mitihani wiki ijayo ng'ombe hanenepi siku ya mnada[emoji12][emoji12][emoji12]