ujinga.. naomba kwanza nikushauri.. sijui kama utapenda ama vipi!
naomba ubadili id!
you as a friend of mine, your id describes you badly... even if you give a better comment, it will be described by your id!
hivi imagine mtu anaandika neno kama...
ujinga tu! yani badala ya kuandika "ujinga tu" kikawaida, anaandika kwa kukumention wewe!!
nimekushauri kama rafiki!