Mitandao ya simu na promotion messages

Moe Szyslak

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
368
Reaction score
724
Hivi kwa mtandao wa simu kutuma promotion messages au kupiga simu za matangazo ya huduma zao mpya kwa wateja wao hadi usiku wa manane. Ipo ndani ya vigezo na masharti ya kuwa mteja wa mtandao husika au ni kukosa ustaarabu tu?
 
Mapepo hayo, nahisi customer care huwa kunakuwa na Mapepo usiku, aiwezekani unapigiwa simu na linamba halijulikani hafu ukipokea tu unaanza kusikia hadithi hamna hata salamu, Mara jiunge na bima, wasamehe bure, awamu ya tano hii
 
Hao ni tigo jamaa wanakera vibaya mno. Ni strategy mbovu sana kibiashara
 
Voda wananitumia message za BIKO mpaka saa kumi za usiku.
Almost two weeks sasa hv na cha ajabu cjawahi hata kucheza na bado wananitumia text zisizopungua mbili daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…