Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote,
Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa wanaumiza vichwa kubuni mbinu za kuzifungua, mafundi wetu walikuwa wanafuata maelekezo, modem na router zinafunguka tunatumia lain zote.
Uwanja umebadilika mitandao imeanza kuleta routers na modems ambazo hazina watumiaji wengi, yani wanaleta modem na router ukizisechi mitandaoni ni ngumu sana kukuta mbinu ya kuzifungua sababu zina watumiaji wachache sana huko nje, hapo inabidi ma IT wetu ndio wawe wabunifu.
Yani tukipeleka hivyo vifaa kwa mafundi wanakujulisha mapema "kama sio huawei au zote siwezi kukusaidia"
Ni kwamba ma IT wetu bila kutafuniwa hawawezi?