Kitaalamu hili suala ni kwamba ”WANATIKISA KIBIRITI".
Mama hana Khabari, Mamlaka haziwezi sema kitu kwa Mabeberu kinachofuata ni Machafuko ya chinichini kwa chinichini.
Pia watu watasusia bidhaa na hata kutafuta 'Alternative' nyinginezo na hivyo kupelekea vurugu sana.
Chanzo ya yote haya ni 'Mama' kuwa na 'Domo Zege'.