HihihiiiiiiiiHuna picha zao mkuu utusaidie tuelewe vizuri
Jf sasa imejaa tutoto twa 95/96 basi imekuwa mtihani kwelikweli,ila tuwavumilie tu hatuna namna!pole sana yaani kutojibi wa fb unakuja kulialia jf kweli imekuuma sana
meza panado upoze maumivu
hivi ni vitu vilivyopo sasa povu la nini coz yawezekana kuna mwingine analo kama hili na hapo nimeongea nusu tu ni mengi sana sasa ukijua vizuri hili basi mwerevu sio povuuko darasa la ngapi? yani zile story za vitoto vinaenda kusema kwa wazazi John kusema hachezi na Mimi ndo unazileta uku real?
huo sio utoto coz wanaonuna ni watu wazima tena mwingine ni mtu maharufu bongouko darasa la ngapi? yani zile story za vitoto vinaenda kusema kwa wazazi John kusema hachezi na Mimi ndo unazileta uku real?
mimi ni mzee ila kununiwa sipendi naonaga hovyooMvulana katika ubora wako
Mjinga tu huyu dogo.Mvulana katika ubora wako