Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Kama hujawahi kupiga chabo basi hujui raha za dunia hii!!!!Huyo mtumishi utakuwa hujamfumania. Si yupo na mwenzake?
Utakuwa umempiga chabo deedeqi.
Katubuuuu.
Daaaah,nimewapa wapendwa historia kidogo wasijisahau sana!Umekula mkuu
Kama hujawahi kupiga chabo basi hujui raha za dunia hii!!!!
Kuna bar moja ina guest hapo hapo nilienda kunywa bia miaka kadhaa iliyopita na rafiki yangu!Basi wakati naenda kupunguza maji,kuna njemba ilikuwa inakamua halafu imewasha taa na dirisha halijafungwa vizuri!Basi nikaja kumuhadithia rafiki yangu,ikabidi naye azuge anaenda toilet kucheki!Aliporudi akasema ni balaa,mtoto anazungusha mzigo sio polepole!
Ninachokumbuka ni kwamba tulibanwa na mkojo mfululizo,kila alikuwa akitoka kukojoa na kufika mezani nami mkojo tayari unakuwa umenibana!Tulipiga round utasema olympic mbio za kupokezana vijiti!!!!
Huyo mtumishi utakuwa hujamfumania. Si yupo na mwenzake?
Utakuwa umempiga chabo deedeqi.
Katubuuuu.
Chuma mboga ndio ipi?
Hahahaaaa,ilikuwa dharura tu!Kukutwa ni muktadha tuHahaaaa. Niipe pole mikono yenu kwa kazi nzito.
Kwa kweli sijawahi.
I'd be so ashamed ningebambwa hapo hapo.
Nieleweshe na mimi siijui.
tusikitike...Basi wote hatujui
🙆🏽♂️Aisee, kumbe hilo jina ndipo lilipotokea, nilikua sifahamu.
Ila binadamu ni wabunifu sana saivi hiyo style wameimodifai mpaka visivyotamanika vinatamanika.
tusikitike...
Ubunifu hahahaaaaa!Aisee, kumbe hilo jina ndipo lilipotokea, nilikua sifahamu.
Ila binadamu ni wabunifu sana saivi hiyo style wameimodifai mpaka visivyotamanika vinatamanika.
[emoji2][emoji2][emoji2]Kama hujawahi kupiga chabo basi hujui raha za dunia hii!!!!