Misri: HUKUMU YA BADIE

Status
Not open for further replies.

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
HUKUMU YA BADIE: Mahakama Misri yamhukumu kiongozi wa Muslim Brotherhood, M. Badie, wafuasi 36 kifungo cha maisha. Yathibitisha adhabu ya kifo kwa wafuasi 10.
 
HUKUMU YA BADIE: Mahakama Misri yamhukumu kiongozi wa Muslim Brotherhood, M. Badie, wafuasi 36 kifungo cha maisha. Yathibitisha adhabu ya kifo kwa wafuasi 10.

Safi sana Egypt, maliaza hao wote.
 
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.

Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.
 
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.

Lakini kumbuka hiyo hukumu imetolewa na waislamu wenzao wala sio wakristo waliotoa hiyo hukumu.

Tiba
 
Lakini kumbuka hiyo hukumu imetolewa na waislamu wenzao wala sio wakristo waliotoa hiyo hukumu.

Tiba

Na wala sijasema imetolewa na wakristo.muislam hawezi kumuhukumu muislam mwenzie bila kutumia quran .hata kama aliyetoa hukumu ni muislam jina kama hatumii quran hukumu si halali .
 
Hata wewe kafiri mutabaruka utakufa tu.....na ukibaki na ukafiri wako fii nari jahannama khaalidina fiyhaa.

Wewe utaishi milele? Alafu hayo maneno stari wa mwisho ungeandika kiswahili allah asingeelewa?. Basi kama haelewi lugha nyingine ni majanga makubwa.
 
Hata wewe kafiri mutabaruka utakufa tu.....na ukibaki na ukafiri wako fii nari jahannama khaalidina fiyhaa.
Wafuasi wa mwamedi wanapelekana jehanam kwa style mbAlimbali, ila hAwajioni
 
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.

Inamaana waliomhukumu Be die sio waislam!!??, fumbua macho utambue kilicho mpoza bedie na Hosn, wakati wa enzi ya hosn kikundi cha bedie kiliruhusiwa kuwatesa, kuwabaka na kuwalazimisha wasiowaislam kuwa waislam,hili lilikuwa ni chukizo kwa Mungu, mungu amsjibu maombi ya watu wake, waovu wote watateketea
 
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.

Futilia mbali ma satanic verse haya
 
Na wala sijasema imetolewa na wakristo.muislam hawezi kumuhukumu muislam mwenzie bila kutumia quran .hata kama aliyetoa hukumu ni muislam jina kama hatumii quran hukumu si halali .

Wewe naona unaota ndoto za Alinacha!!!!!!!!

Tiba
 
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.

Nchi za Magharibi zilitengeneza mazingira ya kunyongwa Saddam, na wajinga wakatekeleza hilo leo Iraq nchi ya asali na maziwa imekuwa nchi ya damu na mauti. Vivyo hivyo Libya America iliamuru auwawe na wakamsodomize na kumuua kikatili leo Libya haikaliki haitawaliki, utajiri aliouacha saddam haujulikani ulipo. Sisi baada ya kuingia madarakani ameshaanza kufanya makosa mabaya. Kama atawanyonga kwa interest za magharibi au Israel nchi italipuka. Na kama ilivyo Iraq na Libya hata Misri watakaosumbua sio Brohood bali makundi mengine ambayo yamejifunza kutoka serikalini kuua ruksa.
 
Safi sana Egypt, maliaza hao wote.

Nchi za Magharibi zilitengeneza mazingira ya kunyongwa Saddam, na wajinga wakatekeleza hilo, leo Iraq iliyokuwa nchi ya asali na maziwa sasa imekuwa nchi ya damu na mauti. Vivyo hivyo Libya America iliamuru Gaddafi auwawe. Waarabu wajinga wakamsodomize na kumuua kikatili leo Libya haikaliki haitawaliki, walioua wanataka kuendelea kuua. Wanataka kuua hata waliowatuma kumuua saddam. utajiri aliouacha saddam haujulikani ulipo.
Sisi baada ya kuingia madarakani ameshaanza kufanya makosa mabaya. Kama atawanyonga kwa interest za magharibi au Israel nchi italipuka. Na kama ilivyo Iraq na Libya hata Misri watakaosumbua sio Brohood bali makundi mengine ambayo yamejifunza kutoka serikalini kuua ruksa.
 
Kwahiyo Nchi za Magaharibi/Wakristo NDIO WANAONGOZA nchi Za Kiislamu?

Astaghafurillah
 
Hakuna atakayeishi milele hata wakiwaua wote allah atawapokea na huko waendako ndio kuna maisha ya milele.mungu akuongoze na akuondolee chuki dhidi ya uislam na uifate haki kabla hujafa.

WEWE mbona unamsingizia Allah ambaye yey mwenyewe hajui atafwanywa nini na YESU? Acha maskharah weye.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…