tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
kigezo ni nini huko? Au Uhindi?Kwa muhindi degree si kigezo mno usijipe matumaini
wanadai East Coast ambayo ipo chin ya Mo ina uafadhali, ila hawa wa vingunguti<sikumbuk wanaitwaje> ni matatizo matupu.lakini mbona mkurugenzi wa MeTL, ambaye ni mbunge wa singida kawapa walimu Tsh 50000/= kila aliyehudhuria mahali alipowaita kiingilio cha kugaiwa hizo fedha ni kuvaa T shirt ya Mo. Sasa inakuaje awanyonye watumishi wake wanaomwezesha kuindeleza kampuni yake?
Tutafika kweli kwa hali hii?Kwa degree ni 60,540/= basic salary hapa MeTL.
Macho yangu au ni typing error yako badala ya laki 6 ,umeandika elf 60Kwa degree ni 60,540/= basic salary hapa MeTL.
Mkuu, hi ni ya mwezi au wiki!?Kwa degree ni 60,540/= basic salary hapa MeTL.