VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hadi leo tar. 2 ya mwezi huu,mishahara ya mwezi Novemba bado haijatoka. Si kwa wenye akaunti kwenye Benki ya Makabwela,Benki ya Taifa ya Biashara,Benki ya Maendeleo Vijijini wala kwingineko kulikoeleweka. Wafanyakazi wako kimya. Vyama vya Wafanyakazi vipo kimya. Mwajiri yuko kimya. Mchezo unaendelea...
Hata UDOM ni ivo ivo!!
Hivi wewe si mnalo jukwaa lenu 'UDASA'.Kuhamishia mjadala huku maana yake nini?Are you seeking public sympathy?Msomi, unalialia..hao unaotarajiwa uwasemee wafanyanyeje?
Matatizo ya kitaifa mpo kimyaa....hadi yawafike ndio mpanue madomo yenu.Usomi gani huu?BTW: unajua hali ya mishara kwenye taasisi nyingine za serikali?Nakushauri urudi ulikotoka. Kafanye utafiti kwanza, jenga hoja ya serikali kushindwa kulipa mishahara watumishi wake kwa wakati.
Lakini kama kweli hoja yako ni kuhusu UDSM tu...nadhani ule mtandao wenu wa UDASA unatosha...
Duh nyie noma....watu washalamba ya november kitaaambo.....na mwezi wa x mas mzigo unatoka tar.10....poleni wakuu....ila nyie ndo vipanga vya taifa hili..jiteteeni bana..