Nyongeza ni 0%
Kupanda madaraja 0%
Uhamisho wa aina zote 0%
Malipo ya malimbikizo 00%
Hapa kazi tu, mtu asiyewajali wa nyumbani mwake hana tofauti na mchawi. Wafanyakazi wa umma ni kama watu wa nyumbani mwa rais.
Kabla ya tarehe 1 ya May nilitabiri kuwa mwaka wa fedha 2017/18 hakuna tena neema kwa watumishi wa umma mimi nikiwemo. Na Mei Mosi tukapata jibu zuri ingawa kuna watu bado hawajaelewa ile hotuba ya Magufuli.
Bajeti mmesomewa, nayo imeonyesha bila bila. Mnataka nini tena ili muelewe?
Kwakuwa rais ameshawajua watumishi wake, kwamba wengi ni 0.0005 IQ basi kaamua kuwazuga tena na uhakiki.
Uhakiki umeshaanza ila rasmi unaanza Julai.
Samahani ndugu, najua kuuliza ni haki yako.