Kama issue hii ni ya kweli basi watanzania Tunahali ngumu sana kuhusu wizi wa fedha kupitia mishahara hewa hiyo ya Tsh 40bn/=,je,vyombo vya kudhibiti wizi huo viko wapi? Wizi wa fedha za umma kupitia mishahara isiyo na watumishi Halisi ni HATARI, chukua hatua