Mishahara CONCERRN WORLDWIDE Msaada tafadhali

Chishango

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
875
Reaction score
363
wadau msaada tafadhali
kiwango cha mshahara kwenye hii organization kwa degree na masters holder
ni muhimu sana kabla ya kufanya maamuzi
nawasilisha
 
OK sijui details za scenario yako lakini kwa kawaida watu hupewa mkataba ambao huonyesha stahiki zako katika hiyo kazi na kama huta ridhika nayo unaweza kuwaambia waongeze kutokana na wasifu wako na price-tag yako.

Ukiwa na Masters unajiamini na kufanya mambo yako kama unavyotaka kwanza mishahara inatofautia kati ya mtu na mtu....sasa mmtu akikwambia analipwa milioni 2 au laki 6 utataja hiyo?? Smart up brother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…