toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio tuseme chadema wanaunga mkono ushoga au nao wanaogopa wakikemea misaada itasitishwa, watanzania tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema.
CCM wametoa kauli CHADEMA ni washikaji wao hawawezi kuthubutu kukemea watanyimwa misaada
kwa sasa wanataka JK atoe kauli huku wao wakiwa kimya kama hawajasikia
Bakwata wameshatoa kauli inatosha!
Tunasubiri kauli ya mpambanaji Dr Slaa katika suala la ushoga
Membe kalaani lakini waziri kivuli wa mambo ya nje wa chadema bado kimya
mbona nasikia ushoga ni sera ya chama kimoja upinzani? kimeshindwa kulaani ushoga
Tunasubiri kauli ya mpambanaji Dr Slaa katika suala la ushoga
Mkuu hii inchi ina viongozi halali kwa mijibu wa katiba sasa kama kila mmoja kwa nafasi yake atasimama kuongolea story hiyo hiyo moja tutakuwa hatusongi. Mimi naamini tamko la waziri Membe linatosha kutuwakilisha wote na ndio maana ya uongozi.toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio tuseme chadema wanaunga mkono ushoga au nao wanaogopa wakikemea misaada itasitishwa, watanzania tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema.
Chadema watoe tamko kwani wameshika dola???nchi ipo chini ya CCM iweje unataka kusikia tamko toka kwa CHADEMA???Kwann usiulizie tamko la UPDP, TPP Maendeleo na UDP???Mimi sion mantik kulisubiria tamko la CHADEMA, Ungetaka kusikia tamko lao ungewapigia kura 2010, kura uliwanyima leo unahamu ya tamko lao, hii imekaaje!!!!!toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio tuseme chadema wanaunga mkono ushoga au nao wanaogopa wakikemea misaada itasitishwa, watanzania tunasubiri kauli ya viongozi wa chadema.