"MIRUNGI" ni Biashara huria Moshi na Arusha??


huu ndo umbea. yaani wewe imebaki tu wakufunge shanga kiunoni na khanga. Mtoto wa kkiume hawi mmbea. Namba za makamanda wako wa polisi unazijua. kama huzijui google policeforce tanzania. mpigie kamanda wamkoa husika aje afanye kazi au mwandikie email nikopi mimi na IGP ERNEST M. kama utaona mrungi aka miraa.
 
Arusha hizo mambo ni kawaida. Pale kwenye mnara wa Azimio pendwa la Arusha kwenye mifereji au ukiivuka watoto wadogo kabisaa wanatafuna miraa baraa na ile kitu maarufu "cha Arusha" na hakuna anayechukua hatua!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Nani kaku ambia handas ina madhara wewe? ni dawa nzuri sana ya meno hiyo ina tibu na kukinga meno dhidi ya wadudu,zaidi ya yote ni kiburudisho kisicho na ghasia wala kero kwa mwenzako.
 

hatuiti "kutafuna" ni "kusaga" au "kuchambua"....
 
Mirungi ni biashara halali nchini kenya na ni bidhaa inayowaingizia kipato cha kutosha wananchi wa meru nchini kenya.kulingana na ukaribu uliopo kati ya kenya na arusha ni rahisi mazao hayo kuingia arusha,na vigumu sana kwa serikali kuidhibiti.
 
Mirungi na bangi siyo haramu hata kidogo nadhani mda umefika kwa serikali kuzi legalize.
 
Ni majani hatar sana hayafai kuyatumia ni moja ya dawa za kulevya na yanaathar nyng ikiwemo kuondosha uCngzi,pia kwa wanaume kujikuta mbegu za kiume kukutoka bila ya sababu wakat unapoenda haja ndogo mbaya zaidi upoteza hamu ya tendo la ndoa na kwa hili wake zao kujikuta wakienda nje ya ndoa na madhara yake ndiyo hayo ya kuleta maradhi nyumbani,,,,,kama si mtumiaji usije jaribu ,,,,,,,kwa hili polisi wa Moshi na Arusha zibitini hili sheria mbona ipo wazi
 

Ulaya ambako ndio lilikuwa soko kuu imepigwa marufuku,nchi ya kwanza ilikuwa Uholanzi na sasa ni Uingereza,kwa sasa wananchi wa Meru huko Kenya wanaitaka serikali iingilie kati kwani kwa kupigwa marufuku kuuzwa nchi za Ulaya kumewafanya maisha yao yawe ya shida
 
Gombaaaaa!!!! Hakuna kama gomba....Mleta mada sema hujawahi onja hii mambo....Unatafuna na Big G pembeni unasoda ya Sprite...Ni laana tupu..

Yani akiiddeferea na macho yake maudenda hayo mwaaaaa!!!!!!
 

Attachments

  • 37092_422822884464188_249060235_n.jpg
    38.7 KB · Views: 104
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…