Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
-
- #21
Unakuta Mbunge ndio Kinara wa kutafuna hii mihadarati.
aaah handaas fulll nakhwaaa.jamani huyu mmeru analiwa balaa.handas yake askwambie mtu.kenya wabunge wanakula na famila zao kama buffee
Gomba linasagwa hadi taya zinalegea,na mtaa maarufu kwa biashara hiyo ni ule mtaa wa msikiti mkuu ukipita hapo utaona viroba vya mirungi kwa asiyejua anaweza kufikiri ni viroba vya mchicha!! Utasikia chalii angu au jombaa njoo tusage gomba! Mambo ya A-town hayo!!! je hii biashara ya gomba imekuwa legalised hapo Arusha?
Gombaaaaa!!!! Hakuna kama gomba....Mleta mada sema hujawahi onja hii mambo....Unatafuna na Big G pembeni unasoda ya Sprite...Ni laana tupu..
Wee@tedo ni membaa wa hii kitu
acha gu hakuna kitu kama hiii
NI BORA IHALALISHWE TU SIJAWAHI KUONA WATU WENYE USTAARABU WA HALI YA JUU KAMA WALA MIRUNGI MAANA HATA WANYWA BIA NI WASHENZI TU,HAWA HUWA WAKO KIMYA NA SODA ZAO NA TAFAKURI ZAO infact wala mirungi hawalewi kishenzi!Mirungi hii sio Moshi na Arusha tu yaani Mwanza ndo usiseme ni hatari sana.
hahahaha hiyo kali sasa
NI BORA IHALALISHWE TU
SIJAWAHI KUONA WATU WENYE USTAARABU WA HALI YA JUU KAMA WALA MIRUNGI
MAANA HATA WANYWA BIA NI WASHENZI TU,HAWA HUWA WAKO KIMYA NA SODA ZAO NA
TAFAKURI ZAO infact wala mirungi hawalewi kishenzi!