Mipango ya Microsoft Na Africa

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
Microsoft katika Nokia>
Katika uundaji wa windows phone, microsoft ime panga kuleta new windows phone zitakazo, endana na matumiz ya AFRIKA yaan BEI, hii ni kutokana na kupata kipingamiz kikubwa na simu FAKE kutoka CHINA,
 
Akifanya hivyo, mchina atahamishia kiwanda cha simu Afrika!
 
Mchina hakamatiki kwa sasa...mzee wa clones
 
Low end nokia lumia 500 series ni nzuri zaidi kuliko android/iOS phones za bei powa. Nadhani hizi zitachukua nafasi ya nokia Asha series.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…