CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,958
- 9,517
Hizo ni GMO, au?Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.
1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.
2.Tangarine- Chenza seedless
3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa
4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.
5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.
Zote ni seedless na grafted.
View attachment 2757952View attachment 2757954View attachment 2757956
Hizo ni GMO, au?
Ungejibu swali tu kuwa ndiyo au hapana ungepungukiwa?Unaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Hapa jibu lilitakiwa kuwa NDIO au HAPANAUnaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Una uelewa na GMO?Hapa jibu lilitakiwa kuwa NDIO au HAPANA
Ndio au hapana ya nini? Tanzania lini imeruhusu GMO? Pia GMO mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa sidhani kama unaijua GMO, na ni vitu gani hasa kampuni za GMO zinalenga kwa sasa.Hapa jibu lilitakiwa kuwa NDIO au HAPANA
Ndio au hapana ya nini? Tanzania lini imeruhusu GMO? Pia GMO mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa sidhani kama unaijua GMO, na ni vitu gani hasa kampuni za GMO zinalenga kwa sasa.
Mkuu aliyeuliza labda hana uelewa basi ungemjibu kwa kumweleza. Angekuwa na uhakika basi asingeuliza bali angesema moja kwa moja hii ni gmo.Una uelewa na GMO?
Ni PM no zenuHapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.
1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.
2.Tangarine- Chenza seedless
3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa
4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.
5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.
Zote ni seedless na grafted.
View attachment 2757952View attachment 2757954View attachment 2757956
Jibu swali sio kuwatupia lawama watanzania. Unaulizwa hizo ni GMO? Kama elimu ya GMO unadhani hatuijui basi tupatie hapa jukwaani. Unaulizwa swali unaanza blabla nyingi.Unaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Kama makasiriko vile😏😏😏Ndio au hapana ya nini? Tanzania lini imeruhusu GMO? Pia GMO mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa sidhani kama unaijua GMO, na ni vitu gani hasa kampuni za GMO zinalenga kwa sasa.
Sasa 66 kafanye mkuuUnaijua elimu ya GMO? Watanzani ni wavivu sana wa kutafuta maarifa halafu ni mabingwa wa stories za vijiweni, ndio yale yale ya Freemason na 666, Techinolojia ya GMO imeanza miaka ya 1970 na seedlss fruits zimekuwepo enzi na enzi, mfano Seedless Grapes zipo miaka 6000 iliopita, Seedlss Oranges zipo tangua miaka ya 1800+
Watu wanashindwa kutofautisha baina ya Hybrid na GMO...hiyo elimu ipo bure Google.Ndio au hapana ya nini? Tanzania lini imeruhusu GMO? Pia GMO mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa sidhani kama unaijua GMO, na ni vitu gani hasa kampuni za GMO zinalenga kwa sasa.
Ukute ni msomi et wa Chuo kabisa.Watu wanashindwa kutofautisha baina ya Hybrid na GMO...hiyo elimu ipo bure Google.
1. Mnapatikana wapi?Hapo juu hizo ni list za Machungwa ambazo unaweza pata kutoka kwetu, ni1. graftes na kama unataka kulima comercialy itapendeza sana hasa maeneo yenye full time jua.
1. Minneola- Hii ni cross kati ya Chenza na Grape fruits.
2.Tangarine- Chenza seedless
3.Pixie- cross kati ya Chenza na Chungwa
4.Washington navel- Hii ni full Chungwa yenyewe.
5.Murcott Oranges- Hii ni cross kati ya Chenza na Orange pia.
Zote ni seedless na grafted.
View attachment 2757952View attachment 2757954View attachment 2757956