yoyote anaeuza mini laptop used ancheki..iwe hp, au samsung. Webcam sio lazima.
ram ianzie 2GB, nataka kwa matumizi ya kuifadhi documents tu.
bajeti yangu 220,000
alienayo ani pm namba yake..nahitaji haraka
Yangu hii hapa bado iko kwenye condition Mzuri. Iko na 2GB Ram/500Hard Disk/Intel Atom/with Solar panel/Windoz 8 and One year antivirus. price 340,000/- Contact: 0715240140