The Inspire55 Member Joined Oct 14, 2020 Posts 12 Reaction score 22 Oct 15, 2020 #1 Habari zenu wajumbe, Naomba kufahaam kuhusiana na kozi ya mineral proceesing and extractive metulugy katika fursa zake za ajira pamoja na namna gani unaweza kujiajili. Natanguliza shukrani zangu kwenu
Habari zenu wajumbe, Naomba kufahaam kuhusiana na kozi ya mineral proceesing and extractive metulugy katika fursa zake za ajira pamoja na namna gani unaweza kujiajili. Natanguliza shukrani zangu kwenu
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,701 Reaction score 41,864 Oct 15, 2020 #2 Hakuna kozi mbaya..inategemea na malengo yako na passion yako kwenye hiyo kozi...suala la ajira kwa sasa hakuna uhakika 100% we soma upate skills zitakazo kusaidi kuendelea kupambana na umasikini. #MaendeleoHayanaChama
Hakuna kozi mbaya..inategemea na malengo yako na passion yako kwenye hiyo kozi...suala la ajira kwa sasa hakuna uhakika 100% we soma upate skills zitakazo kusaidi kuendelea kupambana na umasikini. #MaendeleoHayanaChama
The Inspire55 Member Joined Oct 14, 2020 Posts 12 Reaction score 22 Oct 15, 2020 Thread starter #3 Nashukuru Mkuu ubalikiwe